Wednesday, May 13, 2009

zantel yafungua duka mwanza

Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Luteni Kanali Mstaafu Serenge Mrengo, akikata utepe kufungua rasmi duka la Zantel Mwanza. Pembeni yake ni Mkuu wa Kitengo cha mauzo Zantel, Deo Kwiyukwa.

Luteni Kanali Mstaafu Serenge Mrengo, akipata maelezo ya huduma ya kasi ya intaneti kutoka kwa Mathew Shayo wa kitengo cha Huduma kwa Wateja
Rose Mushi wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja akitoa maelezo kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na Zantel kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Luteni Kanali Mstaafu Serenge Mrengo

No comments: