Wednesday, May 13, 2009

Mwizi Zake Arobaini
Hapa askari polisi akijadiliana sehemu ya kumpeleka lupango ama hospitali hata hivyo haikuweza kufahamuka mara moja ilikuja defenda wakampakia na kuondoka naye
Hapa askari polisi akimwokota ili kumpeleka sehemu ya usalama

Huyu mtu inasadikiwa ni mwizi hapa ni baada ya kupigwa na wananchi wenye hasira kali.Pembeni ni daladala ikipita huku abiria akishangaa waliompiga wote wametoweka na kumuacha.

No comments: