Wednesday, May 13, 2009

Bajaj Kwaajili Ya Mamlaka Ya Majisafi Na Majitaka (Dawasco)

Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na majitaka (Dawasco) Alex Kaaya, akionyesha baadhi ya bajaj zinazopelekwa kwenye matawi ya shirika hilo ili kurahisisha huduma kwa jamii. Picha na Peres Mwangoka

No comments: