Wednesday, May 13, 2009

ubatizo wa mtoto wa mdau timothy dar
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Alex Malasusa katika picha ya pamoja na mdau Timothy Malasusa, ambaye ni mdogo wake, akiwa na mai waifu wake baada ya ubatizo wa Kyra. Timothy na Familia yake ambao walikuja nyumbani kwa sherehe hiyo wanatarajia kuondoka hivi karibuni kurejea Uingereza wanakoishi na kufanya kazi.

No comments: