Wednesday, May 13, 2009

Ajali

Mwili wa mwendesha baiskeli, Magari Japhet, ukiwa katika barabara ya Mandera jirani na Hosteli ya Mabibo baada ya kugonggwa na Lori aina ya Scania jana mchana. Mwendesha baiskeli huyo aligongwa baada ya lori kuacha njia na kuingia pembeni mwa barabara.
Picha na Joseph Mgaza

No comments: