Wednesday, May 13, 2009

YANGA VS SIMBA





Simba na yanga walipokabidhiwa magari yao, kikubwa ni kwamba wamepata mawili Coaster an Hiace!!! watu walizomea walijua wangepewa Scania Marcoopolo. lakini angalau wanaweza kumove mjini!!! Big up TBL!!! Vijembe vya Madega na dalali sisemi kikubwa usafiri.

No comments: