Wednesday, May 13, 2009

hongera mama iqra
kwa niaba ya wadau wa globu ya jamii nachukua nafasi hii kukupongeza shamim zeze kwa kusherehekea vilivyo siku ya mama duniani ukiwa na iqra. kwa wasiomfahamu shamim zeze huyu ni dada wa shoka ambaye amekuwa akiendeleza libeneke la mitindo kwa muda mrefu sana na kuleta mapinduzi makubwa katika tasnia nzima ya globu. unaweza kumwita kungwi wa mabloga wanawake walioko bongo.
hongera sana shamim na endeleza libeneke. Picha kwa hisani kubwa kabisa ya
http://8020fashions.blogspot.com/

No comments: