Wednesday, May 13, 2009

bongo tambarare; nani anabisha??
Mdau Michuzi Jnr wa http://michuzijr.blogspot.com kaikuta hali hii leo mitaa ya Sinza Bamaga hapa Dar. Inasubiriwa tume iundwe ndipo hatua zichukuliwe - tena baada ya madhara kwa maisha na mali za watu

No comments: