Wednesday, May 13, 2009

marlaw: nyota iliyo juu sana kwa sasa bongo
msanii a kizazi kipya marlawa (pichani) ni moto wa kuotea mbali. mlio ughaibuni mnamjua huyu ambaye kwa sasa ndiye yuko juu hapa bongo kuliko msanii yeyote? mapromota wa ughaibuni kazi kwenu...hivi sana ama kitu kinitwa "piiip piiip" ambacho ni hatari tupu! hana mpinzania kwa sasa..
hebu msikilize na kumwangalia

No comments: