Wednesday, May 13, 2009

Miss TZ 2008 asherehekea hepi besdei yake na yatima
Juu ni kabla ya kukata keki ya hepi besdei ya Miss TZ 2008 Nasreem Karim na chini wakijichana misosi waliyoandaliwa na Hoteli ya Giraffe Ocean View. Watoto yatima kutoka vituo vya Makuya Orphans and Vulvarable Children, Sinza orphanage Children Centre, Nira Children and Youth Orphans Foundations na Unra Orphanage Centre walialikwa kujumuika na mlimbwende huyo ambapo pia walitumbuizwa kwa ngoma na wao walishiriki michezo mbalimbali.

No comments: