Wednesday, May 13, 2009

WAZIRI MKUU ZIARANI SUMBAWANGA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Daniel Ole Njoolay wakitazama mahindi wakati walipotembelea shamba la gereza la Mollo wilayani Sumbawanga'. Mheshimiwa Pinda alikuwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya kilimo mkoani Rukwa.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua shamba la mahindi la gereza la Mollo wilayani Sumbawanga akiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya kilimo mkoani Rukwa.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: