Wednesday, May 13, 2009

MAMBO YA KILWA




Kama kuna mtu amewahi kufika mikoa ya kusini hususan maeneo ya Kilwa mkoani Lindi basi utakubaliana na mimi kuwa Bongo kuna sehemu za kutisha. Hebu cheki Beach hii kwa chini then tatizo ni usafiri wa kwenda kwenye hako kakisiwa lakini watu, waume kwa wake wanakatisha bila taabu yoyote. Hivi hakuna mtu wa kuwekeza watu wakatuingizia Fedha jamani!!!?

No comments: