
*Ballali aliacha mikanda ya video.
TAKRIBAN mwezi mmoja tangu aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Dk. Daudi Ballali (65) afariki dunia, kile kinachoitwa wosia ama ushahidi aliouacha kinazidi kuwatesa wengi na habari zinasema aliukabidhi pia katika taasisi nyeti za fedha duniani kama Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF).
Habari kutoka vyanzo mbalimbali vya habari zinaeleza kwamba watu kadhaa wanaohofia kuumizwa na wosia huo wamekuwa wakihaha kuhakikisha wanaupata ama kuzuia kuenea kwake na wengine kutaka kueneza propaganda za kupunguza makali yake ndani na nje ya nchi.kwa mengi zaidi juu ya habari hii na makali zilizokwenda shule ikiwemo Rai ya Ulimwengu litafute gazeti hilo la wiki hii !!
1 comment:
Greetings folks, I am new in this forum and I want to say hello to you. I am truly savoring reading just what you're talking about on this forum. I have discovered numerous strategies which helped me quite definitely.
-------------------------------------
[url=http://www.blogigo.com/donettemarkham/Music-form-of-art/1/][color=#000000]songs[/color][/url]
Post a Comment