Saturday, June 14, 2008

Swali Hili Aliulizwa Karume Washington DC..

Wadau wa blog yako kutoka Washington DC, kwa kweli nilimuuliza Rais Karume two weeks ago hapa washington''wewe Wapemba wamekukosea nini hata ukaweka waziri mmoja tu au kwa kuwa wamekupa 15% ya kura ?Jibu lake ni kuwa nimewapa 10% waziri mmoja na 5% naibu waziri inawatosha hiyo.
Mdau
Washington

No comments: