Saturday, June 14, 2008

Lipumba na Lowassa.

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF,Prof Ibrahim Lipumba(kushoto) akisalimiana na Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu wa Zamani Edward Lowasa walipokutana nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma juzi.Picha na Mrocky/TSN

No comments: