Wednesday, June 11, 2008

' Mungu Shahidi!"


Basi hili linatoka Tanga kwenda Arusha, Dar, Mbeya, Sumbawanga kupitia Kilimanjaro, Moro Na Pwani! Nililikuta pale Ruaha Mbuyuni hivi karibuni. Nilisahau kuuliza lina madereva wangapi.

No comments: