
Maofisa Waandamizi kutoka Zain wakiwa na Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela ofisini kwake jijini Johannesburg, Afrika Kusini,walipokutana kujadiliana kuhusu Tamasha la sherehe ya kutimiza miaka 90 tangu kuzaliwa kwa Mandela linalotarajiwa kufanyika jijini London, Uingereza Juni 27, mwaka huu.
Zain inayomiliki Celtel inadhamini hafla hiyo.Kutoka kulia ni Chris Gabriel, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Celtel International; Tito Alai, Ofisa Biashara Mkuu wa Zain; Nelson Mandela, Bayo Ligali, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Celtel Nigeria na Bashar Arafeh, Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Celtel Afrika Mashariki
2 comments:
This blog could be more exciting if you can create another topic that everyone can relate on.
It could give you more facts.
Post a Comment