Wednesday, June 11, 2008

msimu wa matunda waanza


hapa ni njia panda ya segera ambapo matunda ya kila aina yapo bwelele kuashiria msimu umenza ambapo maembe, machungwa na machenza yametawala na kuuzwa kwa bei poa

No comments: