Monday, June 9, 2008
MSIBA ITALY..
HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA, ALISHINDWA KUIMILIKI GARI BAADA YA KONA YA DARAJA AKAGONGA MWANZI WA TAA ZA BARABARANI NA KUINGIA UKUTA ,ALIFARIKI PAPO HAPO.MUNGU AMLAZE PEMA AMIN.
---------------
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WATANZANIA ITALY NDUGU ABDULRAHAMANI A.ABDALLAH KWA NIABA YA JUMUIYA ANAWATANGAZIA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI NA WATANZANIA WOTE HAPA ITALY NA HUKO NYUMBANI KUWA NDUGU YETU OMARY JAFFARI NGWAYA aka 50 cent au SALUM LONGA AMEFARIKI LEO ASUBUHI KATI YA SAA KUMI NA SAA KUMI NA MOJA ASUBUHI KWA AJALI YA GARI.
AJALI HIYO ILITOKEA SEHEMU YA ISCHITELLA/LAGO PATRIA MJINI (NAPOLI)BAADA YA DARAJA.NAE KATIBU WA JUMUIYA YA WATANZANIA NAPOLI ANAWATANGAZIA WATANZANIA WOTE KUWA KUTAKUWA NA MKUTANO LEO SAA KUMI JIONI PALE MABEMBEANI,WOTE MNATAKIWA KUFIKA BILA KUKOSA ILI KUWEZA KUFANIKISHA MIPANGO YA MAZISHI. KWA WALE WOTE WALIO NJE YA NAPOLI TUNAOMBA MICHANGO YENU KWA ILI TUWEZE KUFANIKISHA MIPANGO YA MAZISHI HARAKA NA KUSAFIRISHA MWILI WA MAREHEMU NYUMBANI TANZANIA.
KWA MAELEZO ZAIDI JUU YA KUWAKILISHA
MCHANGO WAKO PIGA SIMU YA OFISI YA JUMUIYA
+39 081 3340635
FAX + 081 3340624
E-MAIL: tnzncommunity@yahoo.com
Marehemu amecha watoto wawili huko Tanzania.
REST IN PEACE LONGA!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment