Monday, June 9, 2008

Dukuduku...

Mambo vipi mzee Kadidi2,
Hembu irushe hii nyuzi ya dada zetu wakibongo ambao wanazaa lakini hawawezi kujua baba wa mtoto ni nani na kubaki kuwagonganisha wanaume na kumwambia kila mmoja ni baba wa mtoto. Hii imetokea sana mara kwa mara hapa Marekani hususani jiji la Dallas-Texas, ushauri upo wa wazi DNA za bure zinatolewa kila siku sehemu mbalimbali si vibaya mkatumia huduma hizo za bure kama haamna "Vijisenti" na mkapunguza kero kwa jamii kwani ni aibu iliyoje mkizingatia mpo nchi yenye maendeleo dunia nzima.
***
Mdau
Houston TX

No comments: