Pichani Malkia wa Taji la Miss Morogoro 2008,Blank Emmanuel ( 21) katikatiakiwa na washindi wenzake,kushoto kwake ni mshindi wa tatu,Eluminata Manda( 21) na kulia ni mshindi wa pili , Yasinta Homelo( 21)wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutangazwa kuwa washindi katika shindano la Miss Morogoro 2008 .Picha na Mdau John Nditi
No comments:
Post a Comment