Monday, June 9, 2008

Balozi wa Ubelgiji..


Waziri Mkuu,Mizengo Pinda(kulia)akizungumza na balozi wa Ubelgiji nchini aliyemaliza muda wake, Bw. Peter Maddens,ofisini kwake jijini Dar es salaam Juzi.Balozi alikwenda kumuaga Waziri Mkuu.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments: