Tuesday, June 10, 2008

Makamuzi ya Ali Kiba Milton Keynes..













Mwanamuziki kutoka Bongo Ali Kiba ameendelea kufanya makamuzi ya nguvu ndani ya tour lake nchini Uingereza na kudatisha karibu kila mji anaotia maguu.,Pichani ni show yake ya kukata na shoka iliyofanyika Milton Keynes.Kwa wadau wa Reading kaeni Mkao wa kula kwa Show bab'kubwa kutoka kwa Ali Kiba Tarehe 14 june 2008 ndani ya The FACE nite Club.Kazi Kwenu..

No comments: