Tuesday, June 10, 2008

hoteli mpya yazinduliwa jijini dar siku chache zilizopita !!


Meneja Mkuu wa Southern Sun Dar es salaam Bw.Adam Fuller akionekana mwenye furaha tele baada uzinduzi wa hoteli hiyo kufanyika.

Mameneja wakiwa na nyuso za furaha baada ya uzinduzi wa hoteli hiyo ambayo imezinduliwa rasmi siku za karibuni na kuitwa Southern Sun Dar es salaam badala ya Holiday In.

Mmmoja wa wahusika wakuu nae akifurahi baada ya kuweza kufungua shampeni katika siku hiyo muhimu kwa hoteli yao !!

No comments: