Wednesday, June 11, 2008

Kumekucha USA: Bwa Mdogo Acha Kuniita Bush!


Kampeni za Urais zimeanza! Barack Obama anamshambulia McCain kwa kuwaambia Wamarekani kuwa kumchagua McCain ni kuendeleza awamu ya tatu ya Bush White House. McCain amejibu mashambulizi kwa kumuonya Obama kuacha kurudiarudia kauli hiyo.

1 comment:

Anonymous said...

Baw, kasagad-sagad sa iya ubra blog!