Thursday, August 14, 2008

Zain Yachangia wiki ya Usalama
Barabarani..
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Bw.Abass Kandoro(kushoto)ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama Barabarani,akipokea cheti cha shukurani ya utendaji kazi bora kutoka kwa Ofisa Mkuu wa Biashara wa Zain Tanzania,Chiruyi Walingo(katikati)na Meneja wa Huduma za Jamii wa Zain Tanzania,Tunu Kavishe (kulia),jijini Dar es Salaam leo.Wa pili kulia ni Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani,James Kombe.Zain ilitoa stika zenye thamani ya sh.milioni 30 na kuahidikutoa makoti ya mvua yenye thamani ya sh.milioni 34 kwa Polisi wausalama barabarani katika kuadhimisha Wiki ya Usalama Barabarani.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Bw.Abass Kandoro(kushoto)ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama Barabarani,akipokea stika za usalama barabarani kutoka kwa Ofisa Mkuu wa Biashara wa Zain Tanzania,Chiruyi Walingo(katikati)na Meneja wa Huduma za Jamii wa Zain Tanzania,Tunu Kavishe,jijini Dar leoa.Zain ilitoa stika zenye thamani ya sh.milioni 30 na kuahidi kutoa makoti ya mvua yenye thamani ya sh.milioni 34 kwa Polisi wa usalama barabarani katika kuadhimisha Wiki ya Usalama Barabarani.

No comments: