mtangazaji maarufu wa eatv ben kinyaiya akifurahi baada ya taifa stars kupiga bao hata watasha wanaishabikia taifa stars uzalendo ni wa hali ya juu siku hizi kwa wadau kuipenda taifa stars kila aina ya mitindo ipo siku hizi kushabikia timu ya taifa
ni fahari ilioje kuvaa bendera ya taifa siku hizi kinadada wapo bega kwa bega kushabikia timu yao ya taifa mitaani nako mambo kama kawa jamaa akikatiza mitaa ya ilala na bendera zake gari la saidi muchacho ambaye ni shabiki wa bwawa la maini na pia taifa stars siku ya mechi ya taifa stars ni neema kwa ndugu zetu hawa...
No comments:
Post a Comment