Wednesday, August 20, 2008

Uuzaji wa hisa za NMB
Wazinduliwa..
SERIKALI imezindua rasmi mauzo ya asilimia 21 kati ya 51 ya hisa zake katika Benki ya NMB zitakazouzwa kwa wananchi na kampuni zinazomilikiwa na Watanzania kwa asilimia 100. Akizungumza katika uzinduzi rasmi wa mauzo ya hisa hizo Dar es Salaam juzi,Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi,Jeremia Sumari alisema serikali imetenga asilimia tano ya hisa hizo kwa ajili ya kuwauzia wafanyakazi wa NMB.

Picha juu ni Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi Jerima Sumari akizindua uuzwaji wa Asilimia 21 ya hisa za Benki ya NMB kwa kuonyesha waraka wa matarajio wa uuzwaji hisa hizo jana jijini Dar es Salalaam.Picha na Mroki/TSN

No comments: