Tuesday, August 26, 2008

HiVi Hapa Ndio itakuwaje !!!!

Hapa unaweza kuchepuka kwenda haja ndogo na kukutana na huyu jamaa ( simba) ambaye hapo anafanana na rangi ya uoto asilia wa mahali hapo. Pichani ni Mikumi jana mchana.

No comments: