Tuesday, August 26, 2008

Wasanii wambumbuka
Complex..
Kumbukumbu ya Complex yawatoa machozi mastaa kibao Baadhi ya wasanii na wadau wa muziki nchini(pichani juu)wakiwa na mishumaa kama ishara ya kumbukumbu ya kumkumbuka mwana Hip Hop,Saimaon Sayi‘Complex’katika tukio lililoitwa‘Remember August’ ambalo lilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya Ukumbi wa Afri Centre,Ilala,Dar es Salaam.Habari na Picha/Abdallah Mrisho Salawi

No comments: