Friday, August 29, 2008

Kampuni ya Zain yatoa Msaada wa
Vitabu kwa shule 19 Nchini..
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela,Bw.Samwel Kamote akibonyeza kompyuta wakati wa bahati nasibu ya kampuni ya simu za mkononi ya Zain kuchagua na kutangaza majina ya shule 19 kutoka mikoa mbalimbali Tanzania zitakazopokea vitabu vinavyotolewa katika programu ya Zain ya Build Our Nation (BON) jijini Mwanza, juzi.

No comments: