Sunday, August 31, 2008

Rais Kikwete atinga White
House.

Rais Jakaya Kikwete akikaribishwa rasmi na Rais George Bush kwenye ofisi Maalum ya Rais wa Marekani Oval Office alipomtembela Rais Bush juzi Washington DC.
Rais Jakaya Kikwete akioneshwa na Rais George Bush wa Marekani mandhari ya ikulu ya Marekani,White House,wakati Rais Kikwete alipomtembelea Rais Bush Ijumaa asubuhi jijini Washington D.C.Rais Kikwete yupo nchini Marekani kwa mwaliko wa Rais Bush.Picha na Freddy Maro/Ikulu

No comments: