Barack Obama Funika
Bovu....





WadauSenator
Barack Obama wa Illionois,kutoka
chama cha Democrats nchini Marekani aliteuliwa rasmi juzi kuw amgombea wa kiti cha uraisi nchini Marekani ambapo usiku wa kuamkia leo alikubali rasmi uteuzi huo mbele ya umati wa watu zaidi ya elfu 85,000 mpaka 90,000 na kuweka ameweka historia maana yeye ni mtu mweusi wa kwanza kuteuliwa na chama kikubwa nchini Marekani kuwa mgombea Rais.Unaweza kujiunga na Kampeni yake kupitia Tovuti yao Rasmi kwa kubofya
Hapa,kwa mengi zaidi juu ya shujaa wetu huyu bofya
Hapa na
Hapa
No comments:
Post a Comment