Wednesday, August 27, 2008

Nmb yanusurika kuwaka moto


Benki ya NMB ya hapa jijini Dar iliopo mkabala na jengo la Mafuta house mtaa wa samora leo mchana limenusurika kuwaka moto,lakin kwa bahati nzuri magari ya zimamoto kutoka kampuni ya nanihii ziliwahi kutia timu sehemu ya tukio mapema

No comments: