Jamani tuanzishe Soka la Kulipwa
-Balozi Biswalo

-----
Balozi wa Tanzania nchini Brazil,Dk.Joram Biswalo,ameishauri Tanzania kuanzisha soka la kulipwa ili kuvutia wawekezaji na kuuboresha mchezo huo.Biswalo aliiambia HabariLeo katika mazungumzo maalumu kuwa maendeleo ya soka nchini Brazil yanatokana na nchi hiyo kuwa na soka la kulipwa ambalo linavutia kampuni kuwekeza.Bofya na Endelea....>>>>>
No comments:
Post a Comment