Wednesday, August 27, 2008

hapa wengi huingia na kutoka


Stendi kuu ya mabasi Ubungo inavyoonekana kwa mbali,ambako watu wengi kutoka sehemu mbalimbali nje ya jiji la dar huingia na kutoka,yote hiyo ni katika suala zima la kutafuta maisha,ambapo wengi huamini mjini ndiyo kwenye maisha mazuri na ya haraka haraka

No comments: