Wednesday, August 13, 2008

Waziri Mkuu Pinda akutana na
Madiwani wa Rukwa...
Waziri mkuu,Mizengo Pinda(Kulia)akisalimiana na madiwani kutoka jimbo la Kalambo mkoani Rukwa,nje ya ukumbi wa bunge mjini jana.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments: