Makatibu Wakuu Waapishwa
Zanzibar..
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume(Kushoto) akimuapisha Khalid Salum Mohammed kuwa Katibu Mkuu wizara ya Kilimo,Mifugo na Mazingira,awali alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Kazi ajira Maendeleo ya Wanawake na Watoto,hafla hiyo ilifanyika juzi Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume(Kushoto) akimuapisha,Rahma Mshangama kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Kazi ajira Maendeleo ya Wanawake na Watoto Zanzibar,kabla alikua Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Mifugo na Mazingira,hafla ya kuapisha ilifanyika juzi Ikulu Mjini Zanzibar.Picha na Ramadhan Othman Ikulu/Zanzibar
No comments:
Post a Comment