Matajiri wa Tanzania Wezi
-Ndesamburo
-Ndesamburo
MBUNGE wa Moshi Vijijini.Philemon Ndesamburo(CHADEMA) ameliambia Bunge kuwa matajiri wa Tanzania ni wezi hasa kutokana na mambo ya kifisadi yalivyofumka bungeni katika siku za hivi karibuni.Ndesamburo aliyasema hayo jana alipokuwa akichangia bajeti ya Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko kwa mwaka wa fedha wa 2008/09.
Akizungumzia sekta ya viwanda ilivyoshindwa kuendelea hasa kutokana na ufisadi na uendeshaji mbovu wa serikali,Ndesamburo alisema:“Matajiri wa Tanzania ni wezi tumeona mambo yaliyofumka hapa bungeni”Alisema Tanzania imeshindwa kuendelea kwa sababu ya kutofuata taratibu za kibiashara.Bofya na Endelea....>>>>>>
No comments:
Post a Comment