Monday, August 11, 2008

Wabunge walazimisha Sare na
Nmb..

Mshambuliaji wa NMB,Hamisi Madole akishangilia baada ya kufunga goli huku golikipa Mbunge wa Kinondoni timu ya bunge Idd Azan(kushoto)akisaga meno katika mechi iliyochezwa kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma juzi.Timu hizo zilitoka sare ya 1-1.Picha ana Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments: