Monday, August 11, 2008

Mazishi ya Mtoto wa Sheikh
Mkuu..
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda(Kushoto)akifuatilia sala katika mazishi ya Ahmad,Mtoto wa Sheikh Mkuu wa Tanzania,Mufti Simba(kulia)yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kibasila yaliyopo Muhimbili jijini Dar es salaam.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

No comments: