Uvaaji wa Cheni Mguuni...

Wadau naomba mnisaidie kunijuza/kunielewesha hili,mimi nimeambiwa na kusikia kila mara uvaaji wa cheni Mguuni/Miguuni Una maana yake tena tofauti tofauti,ukivaa moja ina maana yake na ukivaa miguu yote miwili ina maana yake je kuna ukweli wowote?. msaada wadau
No comments:
Post a Comment