Naomba Msaada
Wenu...

Pichani ni Mkazi wa Saku-Chamazi jijini Dar es Salaam,Bw Omar Salumu Ngunda mwenye ulemavu ambaye anaomba msaada wa hali na Mali toka kwa wasamaria wema wa kumwezesha ama kumnunulia pikipiki ya miguu mitatu maarufu kama Bajaj ili imwezeshe kuendesha maisha yake ya kila siku na kuhudumia familia yake ya watoto watatu.Kwa Yeyote mwenye kuguswa na jambo hili na yupo tayari kumsaidia awasiliane na Mdau Mrocky Mrocky Simu number +255 755 373999 au barua pepeE-mail:
mrokim@gmail.com
No comments:
Post a Comment