Tuesday, August 5, 2008

Balozi wa Cuba ..
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda (Kulia) akisalimiana na balozi wa Cuba nchini aliyemaliza muda wake Bw.Filipe Ruiz O’Farrill ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam jana kumuaga.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments: