Tuesday, August 5, 2008

Mzee Sumaye amtembelea
Waziri Mkuu Pinda..
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda(Kulia)akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu,Frederick Sumaye alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es salaam jana.Picha hii ni ya Ofisi ya WaziriMkuu

No comments: