Ziara ya Rais Jakaya Kikwete
Mufindi..
Rais Jakaya Kikwete akiagana na baadhi ya wananchi wa Mji wa Mafinga muda mfupi baada ya kuwahutubia katika uwanja wa Mashujaa,Mafinga,wilayani Mufindi leo.Rais Kikwete anaendelea na ziara yake ya Kikazi Mkoani Iringakuwahutubia wananchi wa Ilembula,Mkoani Iringa.
Rais Jakaya Kikwete akikagua moja ya mabweni ya shule ya sekondari ya Saadani
iliyopo wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa .
Mwenyekiti wa Umoja wa Wazee wilaya ya Mufindi Mzee Sikauka Mwachang'a akimvika vazi la jadi na kumkabidhi zana za kivita za jadi Rais Jakaya Kikwete katika uwanja wa mashujaa Mafinga,wilayani Mufindi.Picha na Freddy Maro/Ikulu
Rais Jakaya Kikwete akikagua moja ya mabweni ya shule ya sekondari ya Saadaniiliyopo wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa .
Mwenyekiti wa Umoja wa Wazee wilaya ya Mufindi Mzee Sikauka Mwachang'a akimvika vazi la jadi na kumkabidhi zana za kivita za jadi Rais Jakaya Kikwete katika uwanja wa mashujaa Mafinga,wilayani Mufindi.Picha na Freddy Maro/Ikulu 
No comments:
Post a Comment