Tuesday, August 5, 2008

Mwanamuziki Mina
Nawe...

Mwanamuziki Mina Nawe kutoka Afrika Kusini nae alikuwepo usiku wa juzi kwenye shindano la Kumtafuta Miss Vodacom Tanzania 2008 kwenye Viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam ambapo mrembo kutoka kanda ya Ziwa Nasreem alifanikiwa kunywakua Taji hilo kwa Mwaka huu.asante ya Picha Abdallah Mrisho..

No comments: