Tuesday, August 5, 2008

Kutoka Celtel Mpaka
Zain...
Meneja wa Huduma za Jamii wa Kampuni ya Zain,Tunu Kavishe(kulia)akiwaelekeza jambo kupitia simu yake ya Blackbery,Waziri Mkuu wa zamani,Dk.Salim Ahmed Salim wakati wa hafla ya kubadilisha jina la kibiashara la Celtel kuwa Zain kwenye Uwanja wa Karimjee jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Katikati ni Mwendeshaji Mkuu wa Zain Afrika Mashariki,Bashar Arafeh
Waziri wa Mambo ya Ndani,Lawrence Masha(kushoto)na Mawaziri Wakuu wastaafu, Jaji Joseph Warioba(katikati)na Dk.Salim Ahmed Salim ambaye pia ni Msuluhishi wa mgogoro wa Darfur nchini Sudan,wakipeperusha bendera ya Taifa wakati wa hafla ya kubadilisha jina la kibiashara la Celtel kuwa Zain kwenye Uwanja wa Karimjee jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

No comments: