Saturday, August 9, 2008

Makamu wa Rais Ziarani Nchini
Cuba...

Makamu wa Rais Dr Ali Mohamed Shein(Kushoto) akisalimiana na Makamu wa Rais wa Cuba Esteban Lazo Hernandez baada ya kuwasili nchini humo kwa ziara ya kikazi ya siku tano.
Makamu wa Rais Dr Ali Mohamed Shein(wa pili Kulia)akitazama Mfano wa Noti za zamani kwenye Makumbusho ya Taifa Nchini Cuba wa kwanza kulia ni Mke wa Makamu wa Rais Bi Mwanamwema Shein.Makamu wa Rais yupo nchini Cuba kwa ziara ya kikazi ya siku tano.

No comments: