Saturday, August 9, 2008

Sherehe za NaneNane..
Rais Jakaya Kikwete akiangalia ng'ombe aliyezalishwa kwa chupa wakati alipotembelea baadhi ya mabanda katika viwanja vya Nzuguni Dodoma,juzi mchana wakati wa kilele cha Sherehe za wakulima Nanenane.Picha na Freddy Maro/Ikulu

No comments: